Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Bila kujali kiwango cha uharibifu, asili ya uhalifu huu hautapita bila kujibiwa. Hiki ni kitendo cha Trump kutokana na kukata tamaa na kuokoa wakala wake, utawala wa Kizayuni na hasa Netanyahu mwenyewe.
Akibainisha na kuweka wazi hatua ya shambulizi la Trump na malengo yake amesema kuwa: Trump alipoona dalili za kushindwa kwa Netanyahu, aliamua kumpa pumzi ya bandia kwa hatua hii ya uadui wake dhidi ya Iran. Adhabu kwa Netanyahu itaendelea kwa nguvu zote hadi atakapofanywa kuwa mnyonge.
Your Comment